Kilichojiri Anayedaiwa Kumchoma kwa Magunia ya Mkaa Mkewe – Video
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Upande wa mashtaka katika kesi ya mauaji inayomkabili Mfanyabiashara Hamis Said (38) umedai kuwa jalada bado lipo kwenye hatua ya mwisho ya uchapaji, ambapo kesi hiyo ilikuja mahakamani kwa…
