Nick Minaj Anasa Mimba Ya Bwana Wake Mpya
RAPA Onika Tanya Maraj ‘Nicki Minaj’ huenda amenasa ujauzito kutoka kwa bwana wake mpya ambaye pia ni rapa, Nasir Jones ‘Nas’ baada ya kuposti picha ya ‘emoji’ ya mtoto mchanga.
Kupitia ukurasa wake katika Mtandao wa Twitter, Nicki…
