Maswali 9 ‘Msukule’ Kukutwa Kwa Tajiri (Picha+Video)
DAR ES SALAAM: Hofu imeendelea kutanda maeneo ya Kibamba jijini Dar na kuacha maswali tisa kwa wananchi kuhusiana na mwanamke aliyekutwa kwenye shimo la urefu wa futi kumi, nyumbani kwa mfanyabiashara aliyejulikana kwa jina moja la Mtei.…
