Nabii Natasha Aongeza Upako Shilo 2019
MTUMISHI wa Mungu Nabii Lucy Natasha kutoka nchini Kenya, ametua nchini leo Alhamisi, Desemba 19, 2019, na kushusha upako katika Tamasha la Shilo lililofanyika katika Kanisa la Mlima wa Moto lililopo Mikocheni ‘B’ jijini Dar es Salaam.…
