Majaliwa Aagiza ‘NBC Shambani’ Iwafikie Wakulima Wengi
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza mawaziri wanaohusika na sekta za kilimo na fedha nchini kuhakikisha huduma mbalimbali za kifedha ambazo ni mahususi kwa ajili ya wakulima zinazotolewa na taasisi mbalimbali nchini ikiwemo huduma ya…
