NCBA BANK Yateua Mkurugenzi & Ofisa Mkuu Mtendaji Mpya
NIC Bank Tanzania Ltd na CBA Bank Tanzania Ltd wapo mbioni kumalizia uunganaji wa taasisi zao na kuanza kutoa huduma zao kama NCBA Bank Tanzania Ltd. Wajumbe wa bodi teule wamemteua Bi. Margaret Karume atakaekua Mkurugenzi na Afisa Mkuu…
