Simba Yawapiga Ndanda Bao 2-0, Bado Pointi 2 Watangaze Ubingwa
MABINGWA watetezi Simba leo wamebeba pointi tatu mbele ya Ndanda FC na kuanza kunukia ubingwa wa ligi msimu huu kwa ushindi wa mabao 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa uwanja wa Uhuru.
Meddie Kagere kipindi cha…
