The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

Ndayiragije

Kim Poulsen Atajwa Taifa Stars

ALIYEWAHIkuwa mshauri wa ufundi kwa timu za taifa za vijana hapa nchini, Kim Poulsen raia wa Denmark, anatajwa kuja kuchukua mikoba ya Etienne Ndayiragije katika kikosi cha Taifa Stars. Poulsen ambaye pia aliwahi kuinoa…

TFF yamfungia Kazi Ndayiragije

WAKATI Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) likiendelea na mchakato wa kumtafuta kocha mkuu Taifa Stars kuna uwezekano mkubwa kocha mkuu wa muda wa timu hiyo, Mrundi, Etienne Ndayiragije akapewa mikoba hiyo moja kwa moja. Ndayiragije licha…