Kununua Dreamliner Marekani, Rais Trump Ampongeza JPM – Video
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewaongoza Watanzania kupokea ndege mpya ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) aina ya Boeing Dreamliner 787-8 iliyowasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere,…
