Ajali ya Ndege Indonesia, Black Box, Miili ya Abiria Vyaonekana
NDEGE ya Shirika la Ndege la Sriwijaya iliyokuwa imewabeba watu 62 imepoteza mawasiliano dakika chache baada ya kuruka kutoka mji mkuu wa Indonesia wa Jakarta.
Waziri wa Usafirishaji wa Indonesia, Budi Karya Sumadi, leo…
