Abiria apiga selfie na mtekaji wa ndege ya Misri
Ben Innes (kulia) akipozi katika selfie na mtekaji wa ndege ya Misri, Seif a-Din Mustafa.
-Ni Ben Innes anayeishi Aberdeen
-Picha yake yasambaa kwenye mitandao ya kijamii
-Asema alipiga selfie na mtekaji ili auone vizuri mkanda…
