MSIBA WA NDIKUMANA, MASTAA WAANZA KUMIMINIKA NYUMBANI KWA UWOYA (VIDEO)
Wasanii mbalimbali wamejitokeza nyumbani kwa msanii wa filamu, Irene Uwoya kumpa pole za kufiwa na aliyekuwa mumewe, Ndikumana Hamad aliyefariki leo.
Mastaa hao wamekusanyika nyumbani kwake maeneo ya Sinza-Mori jijini Dar…
