AJALI: Naibu Waziri Nditie Anusurika Kifo – Video
Naibu Waziri Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye jana Jumapili Novemba 11, alinusurika kifo baada kupata ajali eneo la Iguguno Kata ya Mkalama mkoani Singida.
Naibu waziri huyo amesema alikuwa katika…
