NDIKU: ATAKAYEMUOA UWOYA ANAJITAKIA KIFO!
PICHA linaendelea! Baada ya hivi karibuni gazeti tumbo moja na hili, Risasi Mchanganyiko kufanya mahojiano maalum na staa mkubwa wa sinema za Kibongo, Irene pancras Uwoya na kudai kwamba amekuwa akitaka talaka yake kwa muda…
