Watu 11 Wafariki, Wanne Wapofuka kwa Kunywa Pombe ya Ndizi
WATU 11 wameripotiwa kufariki nchini Rwanda tangu sikukuu ya Krismasi baada ya kunywa pombe ya kienyeji inayotengezwa kutumia ndizi katika wilaya ya kusini mashariki mwa nchi hiyo ya Bugesera.
Watu wanne zaidi wanaripotiwa…
