Ndoa Yako Imekuwa Adui au Rafiki wa Mafanikio?
Nimshukuru Mungu kwa kunijaalia uzima ulioniwezesha kuandaa makala haya. Ndugu zangu, leo nataka kuzungumzia suala la mafanikio na namna ndoa inavyoweza kuwa rafiki au adui wa mafanikio yako.
Naandika mada hii kutokana na ukweli…
