Watanzania Wahimizwa Kushirikiana na Wasaidizi wa Sheria
Jamii imehimizwa kushirikiana kwa karibu na wasaidizi wa kisheria chini ili kuwalinda wasichana na ndoa za utotoni ambazo huchochea umaskini, maradhi na ujinga.
Meneja Programu wa kituo cha Wasaidizi wa Kisheria mkoani Shinyanga,…
