The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

NDONDI.

Pialali, Mtango Waishukuru Global Publishers

   MABONDIA wa ngumi za kulipwa waliokuwa na mapambano ya kimataifa Novemba 28, mwaka huu, Idd Pialali na Salim Mtango, leo Desemba Mosi wametembelea ofisi za kampuni ya Global Publishers inayochapisha magazeti ya Championi,  Spoti…

Pialali, Tinampay Wakutana

Bondia wa ngumi za kulipwa Bongo, Idd Pilali hatimaye wikiendi iliyopita alikutana kwa mara ya kwanza na mpinzani wake, Arnel Tinampay kwenye (Face Off) iliyofanyika kwenye uwanja wa Urafiki zamani Kinesi, uliopo Sinza Dar, ikiwa ishara…