Ndoo Walizobeba Kigogo wa zamani wa TRA na Miss Tanzania zazua utata
Watuhumiwa hao wakipelekwa mahabusu na ndoo zao
Kitendo cha aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya pamoja na maofisa wawili waandamizi wa zamani wa Benki ya Stanbic, Tawi la Tanzania, Sioi Solomoni na…
