Spika Ayaona Makontena ya Mchanga Yaliyozuiliwa Bandarini
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, leo ametembelea bandari ya Dar es Salaam na kujionea makontena yaliyotaka kusafirishwa nje ya nchi yakiwa na mchanga uliotoka katika migodi mbalimbali inayochimba dhahabu…
