SERIKALI IMESEMA ITAENDELEA KUIMARISHA MFUMO WAKE WA UTOAJI DAWA
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dr Faustine Ndungulile akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano Unaojadili Namna na Mbinu za kutokomeza Uzalishaji na usambazaji wa Dawa bandia na zisizo na…
