NDUGULILE: WAJAWAZITO WAPATIWE HUDUMA ZA UZAZI BURE
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesisitiza kuwa huduma za uzazi kwa wajawazito zitolewe bila malipo katika hospitali na vituo vya afya vya serikali.
Hayo…
