Lugangila Alia na Ofisi ya Waziri Mkuu “Tuambieni Mtafanya Nini?”
MBUNGE wa Viti Maalumu (CCM) kupitia Kundi la Asasi za Kiraia nchini (NGOs) Mhe. Neema Lugangira ameiomba Serikali iikaribishe Sekta ya Asasi za Kiraia kama ilivyowakaribisha Sekta Binafsi kutokana na utayari wao kushirikiana na…
