Nelly Muosha Magari wa Posta-35
Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale dada Fatu alipomwomba Nelly aende nyumbani kwake kumsaidia kazi ndipo Ipyana alimwuliza ni kazi gani akamwambia asubiri atakuja kuambiwa na Nelly. Je, ni kazi gani hiyo? Endelea na utamu huuu.…
