Mtoto Awashangaza Madaktari Avyochambua Mfumo wa Mkojo – Video
MTOTO Baraka Shigongo mwenye ufahamu wa hali ya juu wa masuala mbalimbali ya Sayansi ya Afya ya Binadamu, ameendelea kuonesha Ulimwengu kipaji chake kwa kufundisha mambo mbalimbali makubwa yanayohusu afya ya miili yetu.
…
