Nesi Mjamzito Afariki kwa Covid 19 Mtoto Aokolewa
MARY Agyapong (28) nesi aliyekuwa mjamzito, amefariki huku mwanae aokolewa. Japo mtoto bado hajapimwa kuthibitisha kama ana #Covid-19 au la.
Kutokana na hali mbaya ya afya yake alilazimika kufanyiwa upasuaji ili kumuokoa…
