New Video: Vanessa Mdee – Cash Madame
Msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee 'Vee Money' aliweka wazi kabisa kwamba mwaka huu ataumaliza kwa kishindo!
Vee Money baada ya kushirikishwa kwenye ngoma kali zinazobamba kwa sasa Barani Afrika, sasa kaachia ngoma nyingine inayokwenda…
