MTOTO ASHANGAZA; AZALIWA NA JINO!
MAMA mmoja, Shannon MacAllister (17) mkazi wa Walker, Newcastle-Upon-Tyne, Uingereza, mwezi uliopita alipigwa butwaa baada ya mtoto wake kuzaliwa na jino moja kwenye ufizi wake wa chini.
Mtoto huyo wa kiume,…
