MWANA-MUZIKI wa Bongo Fleva, Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’ ameeleza la moyoni kuwa bado anampenda aliyekuwa mpenzi wake, Nini na endapo atarudi atakuwa tayari kumpokea.
Nay aliliambia Ijumaa Wikienda: “Bado ninampenda sana Nini…
BAADA ya hivi karibuni Meneja wa Staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’; aitwaye Hamis Taletale ‘Babu Tale’ kuibukia Afrika Kusini ‘Sauz’ kwa ajili ya kumuombea msamaha msanii wake huyo kwa mzazi mwenziye, Zarinah Hassan…
Na Walusanga Ndaki/GPL
BARAZA la Sanaa Tanzania (BASATA) limeufungia wimbo mpya wa msanii mkali wa kuchana, Ney wa Mitego, unaoitwa
Wapo. Wimbo huo ambao ni mpya na unadaiwa kuwa na maneno yasiyo na maadili kwa jamii.
Mbali ya…
MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva anayefanya sanaa yake tofauti na wasanii wengine, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego‘ inadaiwa amekamatwa na polisi mkoani Morogoro akiwa Hotelini mara tu baada ya kumaliza kazi zake.
Msanii huyo amekuwa…
MAYASA MARIWATA| GAZETI LA AMANI| HABARI
MSANII wa muziki Bongo, Sister Fay ambaye siku chache zilizopita aliingia kwenye mgogoro na msanii mwenzake Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kwa madai ya kumtelekeza mtoto aliyezaa naye…
Na ALLY KATALABULA| IJUMAA WIKIENDA| OVER ZE WEEKEND
RAPA asiyeishiwa vituko kunako Muziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kidizaini kama amelimaliza bifu ‘amesanda’ kwa hasimu wake, Hamad Ally ‘Madee’…
Na: IMELDA MTEMA| RISASI JUMAMOSI| HABARI
MZAZI mwenzake na staa wa Hip Hop Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema ameibuka na kutoa simulizi yake ya nyuma na kusema kamwe hatasahau mzazi mwenzake huyo alivyomuongopea na…
Hamorapa na mpenzi wake.
Stori: Na Andrew Carlos | IJUMAA | SHOWBIZ
KIZUNGUMZIA ishu ‘inayo-trend’ kwa sasa kwenye burudani hususan katika Muziki wa Bongo Fleva bila kupapasa utataja ishu ya msanii chipukizi aliyejizolea umaarufu wa…
MMOJA kati ya marapa wanaofanya vizuri katika Bongo Fleva kwa sasa, ni Emmanuel Elibariki ambaye mashabiki wanamtambua vizuri zaidi kama Nay wa Mitego au kama mwenyewe anavyopenda kujiita, True Boy.
Ni msanii anayepata lawama…
Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’.
Baada ya kuibuka msanii chipukizi wa Bongo Fleva anayefanana sana kwa sura na msanii kutoka WCB, Harmonize kiasi cha kubatizwa jina la ‘Pacha wa Harmonize’, Harmorapa, katika mitandao ya…