Vikundi vya Ulinzi Shirikishi Zingatieni Maadili ya Kazi
Vikundi vya Ulinzi Shirikishi Kata ya Ngara Mjini Wilaya Ngara Mkoa wa Kagera vimetakiwa kuzingatia Sheria kipindi cha utekelezaji wa majukumu yao huku akiwataka kuwa mfano mzuri Kwa jamii.
Hayo yamebainishwa na Mkaguzi Kata ya Ngara…
