Serengeti: Ngariba Nguli Atupwa Jela Miaka 5
NGARIBA nguli Mary Onyango Omega (50) maarufu Mkungu Mugesi mkazi wa kijiji cha Kitarungu Kata ya Nyansurura amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara miaka mitano jela kwa kosa la kumfanyia ukatili mtoto (ukeketaji).…
