Getere: Mabucha ya Nyama ya Ngedere Yafunguliwe
Mbunge wa Bunda Vijini Mwita Getere, ameiomba Wizara ya Maliasili na Utalii itoe kibali na ifungue mabucha ya nyama ya Ngedere na Nyani kwa ajili ya kuwauzia Wachina kwa kuwa wanyama hao wanazaliana kwa wingi na ni waharibifu wa mazao.…
