MASHINDANO YA ‘TULIA TRUST’ KUKUTANISHA MIKOA BARA, VISIWANI
TULIA Trust waandaaji wa mashindano ya ngoma za jadi nchini yenye kauli-mbiu ya "Tuuenzi Utamaduni Wetu" wanatarajia kuanza mchakato wa mashindano hayo kwa mwaka 2018 wakihusisha mikoa yote nchini na visiwani…
