The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

ngoma

Chirwa, Ngoma pasua kichwa Azam

KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Idd Cheche ameweka wazi kuwa tatizo kubwa ambalo linaipasua timu hiyo ni washambuliaji wake kutotumia vyema nafasi wanazopata.   Safu ya ushambuliaji ya Azam FC inaongozwa na Obrey Chirwa, Donald Ngoma…

Ngoma Bado Sana Azam

DONALD Ngoma hatokuwepo kwenye kikosi cha Azam ambacho leo Jumamosi kinakwenda nchini Uganda kuweka kambi ya wiki mbili kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu. Ngoma ambaye alijiunga na Azam kwenye usajili huu mkubwa…

Ngoma, Kamusoko Warejea Yanga

Wilbert Molandi |CHAMPIONI | Dar es Salaam MSHAMBULIAJI Mzimbabwe, Donald Ngoma na kiungo Thabani Kamusoko juzi Jumatatu walifufua matumaini ya Yanga baada ya kuanza mazoezi mepesi. Wazimbabwe hao, waliukosa mchezo…

Wanne Yanga Waipoteza Simba Yote

STORI:  Ibrahim Mussa| CHAMPIONI | Dar es Salaam MABAO yaliyofungwa na wachezaji wanne wa Yanga, Simon Msuva, Amissi Tambwe, Donald Ngoma na Obrey Chirwa katika Ligi Kuu Bara msimu huu, yameonekana kuwa ni mengi kuliko yale yote…

Ngoma, Kamusoko watengwa Yanga SC

Donald Ngoma. Sweetbert Lukonge, Zanzibar KILA lenye mwanzo lina mwisho wake, hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya wachezaji wawili wa kimataifa wa Yanga, Wazimbabwe, Donald Ngoma na Thabani Kamusoko kutengwa klabuni hapo. Hivi…