Mchezaji Mwingine Bongo Alamba Shavu Ufaransa
Kinda wa Azam FC U-20 na Ngorongoro Heroes, Tepsi Evance Theonasy kutoka Cambiasso Sports amewasili Ufaransa katika Club ya FC Nantes kwa ajili ya kukuzwa kisoka hadi atakapotimiza miaka 18 mwaka huu na kusaini rasmi na timu ya wakubwa FC…
