Jenerali Nguema Kuapishwa Kuwa rais Mpya wa Gabon Jumatatu
Kiongozi mpya wa Gabon, Jenerali Gabon Brice Oligui Nguema ataapishwa kuwa rais wa mpito siku ya Jumatatu katika mahakama ya kikatiba, viongozi wa mapinduzi wamesema.
Oligui ataunda taasisi za mpito, Ulrich Manfoumbi Manfoumbi,…
