Rosa Ree: Sioni tatizo kujiachia nusu utupu
M SANII anayekuja vizuri kwenye muziki wa Hip Hop, Rose Robert ‘Rosa Ree’ amefunguka kuwa hasumbuliwi na maneno ya watu wanaomzungumzia kuhusu mavazi yake ya nusu utupu kwani haoni tatizo lolote.
Akizungumza na Risasi Vibes, Rosa…
