CHRIS BROWN, MZAZI MWENZAKE MAMBO SAFI
MWANAMUZIKI wa RnB Chris Brown pamoja na mzazi mwenzake Nia Guzman baada ya kuwa na mvutano muda mrefu kwenye swala la malezi ya mtoto wao Royalty sasa wameamua kukaa chini na kuelewana.
Nia Guzman amaekanusha taarifa…
