Nick Minaj Atangaza Kuachana na Muziki
Rapper wa kike kutokea Marekani, Onika Tanya Maraj maarufu kama Nick Minaj jana Septemba 5, 2019, ameutangazia umma kustaafu kazi ya muziki.
Staa huyo ametangaza hayo kupitia mtandao wa Twitter kwamba:
’Nimeamua kustaafu niwe na…
