Barua yachelewesha dili la Mghana Simba
WAKATI mkataba wa nyota wa Simba, Nicholas Gyan raia wa Ghana ukikoma mwezi ujao, imethibitika kuwa beki huyo anasubiri barua tu ili aweke wazi timu anayokwenda.
Meneja wa nyota huyo, Juma Ndambi alisema kinachowakwamisha kwa…
