Cardi B Ammwagia Sifa Nicki Minaj
RAPA machachari wa kike nchini Marekani, Cardi B, amemwagia sifa hasimu wake kwenye rap, Nicki Minaj, kwa kutawala muziki katika kipindi cha miaka 10 iliyopita mfululizo.
Cardi ameueleza mtandao wa Apple Music kuwa katika…
