Safaree Akiri Kusalitiwa na Nicki Minaj Kisa Meek Mill
ALIYEKUWA mpenzi wa Mwanamuziki wa Hip Hop, Nicki Minaj, Safaree Samuels amefanya mahojiano na kipindi cha mtangazaji Wendy na kukiri kuwa Nicki alimsaliti na kumpa penzi Meek Mill kitendo ambacho kinamuumiza mpaka leo.…
