CHRIS BROWN AMTEMA NICKI MINAJ
MWANAMUZIKI kutoka pande za Marekani Chris Brown amemtoa Nicki Minaj kwenye orodha ya wasanii ambao aliwataja kuongozana nao kwenye ziara yake ya #IndigoGOAT mwaka huu.
Chris Breezy kupitia mtandao wake wa instagram…
