PEPE AITOSA IVORY COAST
STRAIKA wa Arsenal, Nicolas Pepe inasemekana ameachana na Ivory Coast ili kujiweka fiti katika klabu yake. Pepe sasa ina maana hatachezea Ivory Coast kwenye mechi zake za kirafiki.
Staa huyo inasemekana alichukuliwa vipimo na…
