Rais Mahakamani Akituhumiwa Ufisadi
NICOLAS SARKOZY, rais wa zamani wa #Ufaransa anayetuhumiwa kujaribu kutoa hongo kwa jaji na kupelekea ushawishi kwenye kampeni za mwaka 2007 atafikishwa mahakamani leo.
Sarkozy aliyeongoza Ufaransa mwaka 2007 hadi 2012…
