ALI KIBA “NILIKUA Natamani ABDU KIBA Afunge MZUKA” – Video
MSANII wa Bongo Fleva ambaye ameungana na mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania na anayekipiga katika klabu ya KRC Genk ya Nchini Ubelgiji kwa kufanya kampeni yao ya Nifuate yenye Lengo la kusaidia watoto wenye maisha magumu leo wamecheza…
