‘Mganda’ aimwagia sifa Global TV Online
Shaibu Rashidi ‘Nigga One’.
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Shaibu Rashidi ‘Nigga One’, anayefanya shughuli zake za muziki nchini Uganda ametua Bongo na kuifagilia Global TV Online akisema inafanya kazi kubwa hadi nchi za nje…
