Mjane wa Kobe Bryant Asitisha Mkataba na Nike
Kobe Bryant, aliyekuwa mchezaji kikapu (NBA) maarufu duniani akitokea pande za Marekani alistaafu kikapu mwaka 2016 na kuongeza mkataba wa miaka 5 na kampuni ya Nike wa kuzalisha viatu vyake vinavyojulikana kama Mamba, miaka minne…
