Nilifanya Mapenzi na Maiti 20 Nitajirike-21
ILIPOISHIA
Hakukuwa na mtu aliyejibu swali lake, kila mmoja akabaki kimya. Nilibaki nikijiuliza juu ya ya mahali pale kutetemeka. Wakati sijapata jibu, nikaisikia sauti ile ikiniambia tena:
“Jina langu ni kuu, jina langu lina utukufu.…
