Niliolewa na mganga kwa tamaa ya cheo kazini-39
ILIPOISHIA:
Nilikata simu ili niendelee na kazi lakini hamu yote ilikatika hasa nilipokumbuka kauli ya Safia kuwa hata nikikosa sitapungukiwa na kitu bila kujua jinsi gani nilivyoitafuta nafasi hiyo kwa udi na uvumba kufikia hatua ya…
